Jacqueline Mengi ndie mwanamke mrembo zaidi Afrika

Mtandao maarufu wa ishu za mitindo na urembo wa Nigeria uitwao StyleRave umemtaja Mtanzania Jacqueline N. Mengi (41) kuwa ndiye Mwanamke Mrembo (41) kuwa ndiye Mwanamke Mrembo zaidi Afrika kutokea katika kipindi cha miaka 10.
Wakati Jacqueline (Miss TZ 2000) akitajwa kushika namba 1 kwenye orodha hiyo ya Warembo 30, Mrembo aliewahi kuwa 2nd runner-up Miss Tanzania 2006 Jokate Mwegelo (32)ametajwa namba 16.
Top 5 imemilikiwa na Nomzamo Mbatha wa South Africa, 4. Adut Akech wa Sudan Kusini 3. Linda Ikeji wa Nigeria. 2.Liya Kenede wa Ethiopia. 1. J.N Mengi wa Tanzania.

Post a Comment

0 Comments