Chanzo cha Vita kubwa ya Iran na Marekani, vita iliyoua Mamilioni, ndege kudunguliwa

Mauaji ya Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds ya Iran, Qasem Soleimani yameonyesha kuibuka upya kwa Uhasama wa Miongo kadhaa iliyopita baina ya Iran na Marekani, Swali la kujiuliza ni kwanini Mataifa haya mawili ni maadui wakubwa?tunakusogezea historia fupi ya uadui huu ulipoanzia.

Post a Comment

0 Comments