Ajali Ya Basi La Bright Line Lilikua Linatoka Mwanza Kwenda Dodoma

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya Basi la Bright Line lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Dodoma kupata ajali eneo la Isela Barabara ya Shinyanga - Tinde baada ya kugongana na Gari dogo na pikipiki asubuhi hii.

Mashuhuda wanadai Dereva wa Bodaboda na abiria wake bado wamelaliwa na basi .

Taarifa zaidi kukujia.

Post a Comment

0 Comments