TOP 10: Mastaa 10 walioingiza pesa nyingi duniani kupitia instagram 2019

TOP 10: Mastaa 10 walioingiza pesa nyingi duniani kupitia instagram 2019
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2019 na kuingia mwaka 2020, AyoTV imekusogezea list na kiasi walichoingiza mastaa 10 wa dunia kupitia mtandao wa instagram, imezoeleka kuonekana mastaa wakubwa duniani wakionekana wanapost matangazo ya kibiashara katika page zao za instagram lakini leo kimetoka kiasi, walichoingiza 2019 na malipo yao kwa post moja, unaweza bonyeza PLAY kutazama list yote.

Post a Comment

0 Comments