Kwa mara ya kwanza Vanessa kamleta mpenzi wake Rotimi bongo

PICHA: Kwa mara ya kwanza Vanessa kamleta mpenzi wake Rotimi bongo
Msanii Vanessa Mdee kamleta mpenzi wake Rotimi bongo kwa mara ya kwanza toka walipoanza uhusiano wa kimapenzi na mkali huyo aliyepata umaarufu kupitia series tofauti tofauti ikiwemo series ya Power.

Rotimi na Vanessa wanatarajiwa kufanya show ya pamoja usiku wa leo December 31 ikiwa ni mkesha wa mwaka mpya na hii itakuwa ni show yao ya kwanza kuifanya katika aridhi ya bongo toka wawili hao kua wapenzi.
Hizi hapa ni baadhi ya picha zikiwaonesha wawili hao walivyopokelewa Airport.
PLAY KUONA VIDEO HAPA CHINI.

Post a Comment

0 Comments