Hatimaye huyu ndiye mshindi wa Bongo star search 2019

Wakati usiku wa December 24, 2019 ikiwa ni mkesha wa Christmas pia ulikuwa ni usiku wa fainali za kumsaka mshindi wa Bongo star search wa mwaka 2019 ambapo aliyefanikiwa kushinda taji hilo ni kijana Meshak Fukuta kutokea mbeya

Bonyeza PLAY hapa chini kuona alivyotangazwa mshindi wa BSS 2019.

Post a Comment

0 Comments