Rais Magufuli hataki kabisa vurugu Vyuoni “someni ameagiza fedha za mkopo zije”

Rais Magufuli hataki kabisa vurugu Vyuoni “someni ameagiza fedha zije”
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amewaambia wanafunzi waliokumbana na kadhia ya kutopata mkopo pia waliopunjwa kuwa kilichokwamisha ni mfumo ila hela zote zilishatolewa wiki tano kabla ya wanafunzi kuripoti.
Rais Magufuli hataki kabisa vurugu Vyuoni “someni ameagiza fedha za mkopo zije” Rais Magufuli hataki kabisa vurugu Vyuoni “someni ameagiza fedha za mkopo zije” Reviewed by Junior Tv on November 19, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.